Kijiweni
February 28, 2025 at 08:13 AM
Golikipa wa Simba, Moussa Camara na beki Che Malone wataikosa mechi ya Ligi Kuu ya NBC kesho Machi 1 dhidi ya Coastal Union kutokana na majeraha.
Camara anakosa mechi ya kwanza msimu huu baada ya kucheza mechi 2️⃣0️⃣ (dakika zote 1800) na kupata Clean Sheets 1️⃣5️⃣
*Kwa Emoji Moja Hapa Umeipokeaje Taarifa Hii?*⤵️
😢
😂
👍
❤️
🙏
😭
😮
🖕
🦁
🐒
234