OFISI YA RAIS - TAMISEMI

OFISI YA RAIS - TAMISEMI

362.9K subscribers

Verified Channel
OFISI YA RAIS - TAMISEMI
OFISI YA RAIS - TAMISEMI
February 27, 2025 at 03:18 PM
Kutoka Visiwani Zanzibar. Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla ameungana na Wazanzibari wengine katika Dua maalum ya hitima ya Alhaji Marehemu Mzee Omary Rashidi Mchengerwa ambaye ni Baba Mzazi wa Waziri wa Nchi OR - TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa. Dua hiyo maalum inafanyika leo Februari 27, 2025 katika Kiwanja cha Kilimani kwa Msolopa Zanzibar ikiudhuriwa na mamia ya Waislam kutoka maeneo mbali mbali Visiwani humo ambapo enzi za uhai wake Alhaji Mzee Omary Mchengerwa alipendelea sana kuswali katika Msikiti wa Kilimani kwa zaidi ya Miaka 20 tangu Mwaka 1990.
👍 😢 4

Comments