Samia Suluhu Hassan
February 23, 2025 at 03:36 PM
Mapema leo nilipopita kusalimia ummah katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam kwenye tukio la Mashindano ya Dunia ya Quran Tukufu, kabla ya kuelekea mkoani Tanga, ambapo nimeanza ziara ya kikazi.
❤️
🙏
👍
😢
😂
231