Samia Suluhu Hassan

Samia Suluhu Hassan

737.8K subscribers

Verified Channel
Samia Suluhu Hassan
Samia Suluhu Hassan
February 27, 2025 at 07:20 AM
Chai na vitumbua asubuhi katika Ikulu Ndogo Tanga, kabla ya kuanza kazi kuelekea Muheza na kisha Mkinga kuzungumza na wananchi na kuhusu kazi, na namna zaidi ya Shilingi Trilioni 3.1 toka serikalini kuja Mkoa wa Tanga zilivyobadili maisha yao kupitia miradi mbalimbali katika kipindi cha miaka minne.
Image from Samia Suluhu Hassan: Chai na vitumbua asubuhi katika Ikulu Ndogo Tanga, kabla ya kuanza kaz...
❤️ 👍 🙏 😂 😢 😮 794

Comments