Tukiio

Tukiio

81.5K subscribers

Verified Channel
Tukiio
Tukiio
February 20, 2025 at 04:25 PM
Namna ya kulipia tickets za kuingia ndani ya Kili Dome Tafadhali fuata maelekezo Lipa kwa simu namba ni hii ya Mixx by Yas 18454883 hakikisha jina la biashara ni KILI DOME CONCERT Regular: Tshs 15,000/= VIP: Tshs 1,000,000/= kwa watu 10 Lipia mapema halafu #tukutanemoshi4kili #itskilitime🍻 #kiliinternationalmarathon2025

Comments