Tukiio

Tukiio

81.5K subscribers

Verified Channel
Tukiio
Tukiio
February 21, 2025 at 05:09 PM
Tunaanza kuparty Ijumaa hii ndani ya Kili Dome mapema sana; List iko hivi; ⭐️Daliwongasa ⭐️Rayvanny ⭐️Gnako Warawara ⭐️DJ Ally B ⭐️DJ Mushizo na suprise kibaooo watahakikisha wanakata kiu yako ya burudani! Kumbuka ni kuanzia Ijumaa hii ya Feb 21 hadi Jumapili hii ya Feb 23, #tukutanemoshi4kili ndani ya Kili Dome pale Moshi Golf Club. 🎫Kiingilio ni Tshs 15,000/= kwa mtu mmoja na V.I.P meza ya watu 10 ni Tshs 1,000,000/= namba ya kulipia ni lipa namba ya Mixx by Yas 18454883 hakikisha jina la biashara ni KILI DOME CONCERT. #itskilitime🍻 #kiliinternationalmarathon2025
👍 1

Comments