
Tukiio
February 22, 2025 at 05:54 PM
✨Mwendelezo wa party la siku tatu mfululizo na Jumamosi hii Feb 22 list ya burudani iko hivi;
⭐Nyanshinski
⭐Jay Melody
⭐Phina
⭐Dulla Makabila
⭐Mothongonation
⭐DJ Kidylax na suprise
kibaooo watakahakikisha wanakata kiu yako ya burudani!
#tukutanemoshi4kili ndani ya Kili Dome
📍 Moshi Golf Club.
🎫Kiingilio ni Tshs 15,000/= kwa mtu mmoja na V.I.P meza ya watu 10 ni Tshs 1,000,000/= namba ya kulipia ni lipa namba ya Mixx by Yas 18454883 hakikisha jina la biashara ni KILI DOME CONCERT.
#itskilitime🍻
#kiliinternationalmarathon2025
😂
👍
😮
6