Chama Cha Mapinduzi Taifa

Chama Cha Mapinduzi Taifa

82.2K subscribers

Verified Channel
Chama Cha Mapinduzi Taifa
Chama Cha Mapinduzi Taifa
February 17, 2025 at 06:47 PM
MAFISA WA CCM WAMPOKEA MAKAMU MWENYEKITI BARA DAR ES SALAAM. Leo Februari 17, 2025 mafisa wa idara mbalimbali katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu CCM Lumumba Dar es Salaam, wamempokea Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndugu Steven Wassira ikiwa ni mara ya kwanza kufika ofisini hapo tangu achaguliwe kushika nafasi hiyo. Ndugu Wassira amewasili Ofisini akitokea katika ziara ya kikazi Mikoa ya Mara na Mwanza.
👍 🙏 ❤️ 💚 😮 🥳 16

Comments