Chama Cha Mapinduzi Taifa

Chama Cha Mapinduzi Taifa

82.2K subscribers

Verified Channel
Chama Cha Mapinduzi Taifa
Chama Cha Mapinduzi Taifa
February 26, 2025 at 09:07 PM
*UVCCM MKOA WA GEITA*🔰 📆 25 Februari,2025 *#operationkijanikata122geita* Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Geita Ndugu Manjale Magambo na Kamati yake ya Utekelezaji wapokewa kwa Kishindo katika Kata ya Kalangalala katika ziara ya Kimkakati ya kuzima zote na kuwasha kijani. #operationkijanikata122geita #tunazimazotetunawashakijanioktoba2025 *#kulindanakujengaujamaa🔰*
❤️ 👍 💚 😂 😎 🙏 🥰 18

Comments