
The Gift Haus 🎁
February 28, 2025 at 07:18 PM
Valentines 2025 was beautiful and simple..!
See our ❤️ shape mirror flower box packages…, hizi ziliambatana na cup cakes na zawadi zingine ambazo wateja wetu walichagua.
Kila siku inaweza kuwa Valentine’s day kwa umpendae, karibu tukuandalie package nzuri ukamfurahishe umpendae.
Njoo na bajeti yako tutakuandalie kuendana na hitaji lako. 🤝
📍Tunapatikana
Dar, Mikocheni- Opposite to rose garden
Tunatuma popote pale.