
Prime Minister Tanzania
February 22, 2025 at 12:28 PM
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishuhudia Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa Frank Chonya akiwa ndani ya moja ya matreka matano yaliyokabidhiwa na Wizara ya Kilimo kwa ajili ya kituo cha kutolea huduma ya zana za kilimo, kilichopo Wilayani Ruangwa. Makabidhiano hayo yamefanyia Februari 22, 2025. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi Mhe. Hassan Jarufu na Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Ruangwa Ibrahim Ndoro
❤️
1