FursaConnect Jobs
FursaConnect Jobs
February 23, 2025 at 06:42 AM
Anahitajika mtu wa Content wa kukaa dukani fulltime. Kila siku saa 3 asubuhi- saa 2 usiku. Mshahara 500k Ujue kushoot na kuedit kwa kutumia simu. Ukiwa na simu yako yenye camera nzuri utapewa kipaumbele. Nitumie kazi zako 2 whatsap: 0789222417

Comments