
FursaConnect Jobs
February 24, 2025 at 10:27 AM
NAFASI YA KAZI KUTOKA RURAL HEALTH ORGANIZATION ( RHO )
Tangazo la Nafasi za Kazi Rural Health Organization Tanzania Februari 2025 kwa watanzania wote ( wakike na wakiume), katika Shirika hili binafsi la afya "RURAL HEALTH ORGANIZATION" (RHO) ambalo lipo chini ya usimamizi wa WORLD HEALTH ORGANIZATION ( WHO) na WORLD BANK kwenye mradi wa kukusanya takwimu ( data collection project) kwa wathirika wa maambukizi ya virusi vya ukimwi (HIV) na Tuberculosis (TB) / kifua kikuu katika mikoa ya RUVUMA ,NJOMBE, MBEYA NA IRINGA
>> Muombaji awe na sifa zifuatazo
Academic qualifications
1. Bachelor degree in information technology (IT)
Duties and responsibilities
>Ensure security and privacy of networks and computer systems
>Manage data backup and system security operations
>Accessing and maintaining accurate patient records, adhering to confidentiality as perthe study policy.
2. Bachelor degree in business administration
Duties and responsibilities
>Developing and managing the healthcare facility's budget
>Analyzing financial reports and identifying areas for cost reduction
>Overseeing revenue cycle management, including patient billing and collections
>Forecasting financial performance and making strategic financial decisions
3. Diploma in clinical officer
4. Diploma in nursing
> ● Registered with Tanzania Nursing and Midwifery Council (TNMC).
>● Good experience with research studies especially in clinical settings, including TB studies
Duties and Responsibilities
● Participate in clinical research study as per research protocol, GCP, SOPs.
● Perform Sample collection ( Including Femoral blood collection) and storage.
● Accessing and maintaining accurate patient records, adhering to confidentiality as per
the study policy.
>> Muombaji awe na ujuzi wa kutumia computer vizuri ( Excel)
Kwa waitaji watafanyiwa orientation kwa muda wa wiki moja kufundishwa namna ya kufanya kazi
Tuma CV yako kweny Email [email protected]
Mwisho wa maombi ni tar 28/02/2025
🙏
1