
MwinyiApp
February 26, 2025 at 07:36 AM
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameshiriki katika uwekaji jiwe la msingi la Mradi wa Hoteli ya Sandies Nungwi Beach Resort, zowezi hilo ni sehemu ya kuchangia katika maendeleo ya sekta ya utalii na uchumi wa Zanzibar kwa ujumla.
#mwinyiapp #yajayonineemazaidi #dumishaamanizanzibar
#fyp #tredingvideo #videoviral #viral-video #viral
#tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #tiktokuganda🇺🇬 #tiktokzanzibar
