
Creed AJIRA PORTAL
February 26, 2025 at 05:11 PM
#tunza NA HII 🤝
Hint: 1 make sure before interview day unajua ata section kidogo za VAT ACT itakusaidia , utakuta mtu mpka mda huu hajui ata ni section ipi ya VAT ACT inazungumzia swala la VAT registration aiseh utakua unachezea shilingi kwenye tundu la choo
🙏
👍
❤️
😂
😢
🥹
10