Jance  Media📡  🔵
Jance Media📡 🔵
February 5, 2025 at 07:50 PM
IFAHAMU JANCE JANCE ni platform ya BURUDANI, inayotoa burudani mbali mbali kama vile; Michezo, ucheshi, Fun fact(je wajua?), komedi, video na clips za vichekesho, habari, trends, udaku na story za mastaa, memes, picha za ucheshi, lyrics za muziki, exclusive intervews, internet tips bila kusahau Afya tips, internet tips, phonetic tips. Nk HISTORIA Kampuni hii ilianzishwa mwaka 2022 na AROS akisaidiana na Jolliness Khan, kampuni hii ilikuwa ikifamika kwa jina la JOLLYWOOD TV iliokuwa inajihusisha na comedy baadae 'kukolapsi' ikiwa chini ya usimamizi wa Jolliness baada ya kufungiwa akaunti yake ya Youtube na Facebook. Mwaka 2023 ilifufuliwa upya kwa jina la JANCE Company na mwanzilishk Aros akiwa na Jolliness Khan, na baada ya mwezi mmoja kumuachia nafasi mdogo wake anaejulikana hivi sasa kama Jance Khan, hivi sasa kampuni iko chini ya uongozi mpya wa Jance Khan ikimilikiwa na muanzilishi wake AROS. Jance Khan alipewa jina ilo na Aros baada ya kuhit up acount ya tiktok 2K followers ndani ya myezi mitatu....... MIDIA Kampuni ya jance imejikita hasa kwenye media yaani Jance media ambayo ipo kukupa burudani za uhakika kila siku kama zilivotajwa hapo juu, media hii kwa sasa ipo katika mitandao ya kijamii yote ulimwenguni kwa jina la "jancetvonline" au "jance media" MAGRUP Jance media pia inayo Channel ya wasap mpya inayotoa video za vichekesho na Fun facts tu kila siku na hii ndio link; https://whatsapp.com/channel/0029VaEVmit3gvWVv7tJGT0c Pia platform hii inali group la wasap, na facebook na Telegram, wasap; PROJECTS Pia Jance Tumekuja na project mbali mbali ikiwemo; - A. App yetu mpya ambapo burudani zaidi zitapakuliwa humo bila kikomo. - B. Afya project itakayomsaidia kila mtu kupata Afya tips au ujuzi mbali mbali kuhusu afya kiujumla - C. Kukuza vipaji na brand za wasanii wadog au comedy platform - D. JE Comedy, "JANCE ENTERTAINMENT Comedy" hii ni project yaa komedy itakayoruka hivi katibuni na comedians kutoka jance lakini pia itapatikana baadhi ya chanel za Azam na 🌟times MAFANIKIO NA CHANGAMOTO Platform hii imefanikiwa kuhit up followers kwenye acount zake za kijanii na members wa group la wasap wapatao sio chini ya members 200 licha ya weng kuleft...(Itaendelea) Kalibuni Jance Media MASWALI, USHAURI NA MAONI; - Piga/Sms: 0678226711 au 0688318239 - Barua pepe: [email protected] au [email protected] - FB, int, Tktk: @janceyvonline TAGS #jancetvonline #jancesports #jecomedy #homeoffunnies #funfacts #togetherwecan #jancelyrics #janceupdates LINK Website: https://aros.ct.ws Facebook page https://www.facebook.com/profile.php?id=100089704435269&mibextid=ZbWKwL Whats app Channel https://whatsapp.com/channel/0029VaEVmit3gvWVv7tJGT0c Threads Channel https://www.threads.net/@jancetvonline Tik Tok Channel tiktok.com/@jancetvonline YouTube Channel https://www.youtube.com/@jancetvonline Twitter(X) Channel https://x.com/jance_tv?s=09 Iinstagram page https://www.instagram.com/jancetvonline?igsh=YzljYTk1ODg3Zg==
😮 1

Comments