World Affairs Today 🌎
World Affairs Today 🌎
February 8, 2025 at 08:55 AM
Kikao kinachowakutanisha pamoja wakuu wa nchi za #sadc na wale wa EAC kujadili ya hali ya usalama mashariki ya #drc🇨🇩 kinaendelea jijini Dar es Salaam nchini #tanzania🇹🇿. Rais wa #rwanda🇷🇼 #paulkagame anahudhuria moja kwa moja wakati mwenzake wa DRC Felix #tshisekedi akihudhuria kwa njia ya mtandao. Waziri Mkuu wa DRC, #judithsuminwa anahudhuria kikao hicho moja kwa moja. 📸Ofisi ya rais wa Rwanda.
Image from World Affairs Today 🌎: Kikao kinachowakutanisha pamoja wakuu wa nchi za <a class="text-blue-5...

Comments