
Mean Machine Rfc
February 14, 2025 at 03:29 PM
Kikosi cha wikendi ambacho kitachuana na timu ya raga ya Polisi wa Kenya.Tumejiandaa kupambana vikali na kuonyesha uwezo wetu uwanjani, tutauonesha moyo wa shujaa na ari isiyo na kifani.
Ilhali ni nadra kama maziwa ya kuku sisi kupigwa na wapinzani wetu tunawaalika mashabiki wetu wote kuja kwa wingi kutushika mkono. Tushirikiane katika kuonyesha kuwa Mean Machine ni nguvu ya kipekee! 💙
#eschuma🛡️

💪
1