Mean Machine Rfc
Mean Machine Rfc
February 14, 2025 at 03:36 PM
Kikosi chetu dhidi ya Jkuat cougars. Timu yetu iko tayari kuonyesha nguvu na ustadi wa kipekee. Huu ni mchezo wa kimahiri, ambapo kila pasi, kila mdundo wa miguu, kila ushambulizi utakuwa wa kipekee. Kwa Mashabiki wetu njooni kwa wingi na tutahakikishia kesho mambo yatakuwa barabara kama barabara za bara uropa.💪🏾 #eschuma💙
Image from Mean Machine Rfc: Kikosi chetu dhidi ya Jkuat cougars. Timu yetu iko tayari kuonyesha ng...
👌 1

Comments