MKINGU NATURE RESERVE (Eco Tourism Area )
February 6, 2025 at 03:05 PM
Mandhari ya kuvutia unapokuwa ndani ya hifadhi ya mazingira asilia Mkingu.
Unakaribishwa kutembelea na kujionea maajabu mengi yanayopatikana ndani ya hifadhi hii .
Inapatikana mkoa wa morogoro wilaya ya mvomero (turiani)
Karibu wewe na familia yako mfurahie kwa kujionea mengi.
❤️
1