
CHARITY YOUTH FOUNDATION 💚 (DSM) TOGETHER WE CAN 💪
February 27, 2025 at 01:40 PM
`Hi Familia ya Charity! 💚💪`
Kipekee kabisa, Tunawalika wote kwenye *CHARITY TALK* kuhusu Historia ya Charity! ✨ Hii ni nafasi ya kipekee kujifunza kuhusu safari yetu, malengo yetu, na mchango wetu kwa jamii. Pia, _utapata nafasi ya kuuliza maswali na kupata majibu moja kwa moja!_
TAREHE: `1 & 2 March 2025`
MUDA: `Saa 3:00 Usiku (09:00PM)`
MAHALI: `WhatsApp Group (Social Media's za C.Y.F. 💚)`
*MGENI RASMI: CEO GEORGE LAIZER*
*N.B;* Usikose!😊 Tuungane pamoja kuelewa zaidi kuhusu dhamira yetu na kuimarisha mshikamano wetu. Tufanye hii siku kuwa ya💪 maana!
_#charitytalk #togetherwecan #historiayacharity #tujifunzepamoja_