Mtibwa Sugar SC
Mtibwa Sugar SC
February 6, 2025 at 06:27 AM
Mchezo wetu unaofuata wa ligi ya @championshiptz tunacheza ugenini Sokoine Mbeya dhidi ya Mbeya City. Mchezo utachezwa Februari 09 saa 10:00 jioni (16:00 EAT) #mccmtb #mtibwasugar #mtibwa #nbcchampionship #unitedwestand https://www.instagram.com/p/DFuKLULMCBi/?igsh=aGF4ODZ0bm5tOHpo
👍 🙏 2

Comments