Mtibwa Sugar SC
Mtibwa Sugar SC
February 9, 2025 at 07:22 PM
Kwa HESHIMA tunawashukuru mashabiki zetu mliosafiri kuja Mbeya kutupa nguvu kwa namna ya kipekee kabisa na kuwaomba msiishie hapa. Pili tunawashukuru mashabiki wa Jijini Mbeya kwa ukarimu wenu imani yetu ni kwamba mmefurahia mpira mzuri leo. Hadi wakati mwingine Mbeya...! 🎋🎋🎋 #mccmtb #mtibwasugar #mtibwa #nbcchampionship #unitedwestand https://www.instagram.com/reel/DF3Np_csBkk/?igsh=MTVoZnVtbmc3cWNnZw==
👍 2

Comments