
Mtibwa Sugar SC
February 25, 2025 at 04:10 PM
Mchezo wetu wa kesho dhidi ya Geita Gold tiketi zote zimenunuliwa na Chama cha mpira wilaya ya Mvomero kushirikiana na wadau wa mpira wa miguu wilayani Mvomero.
Usafiri wa kwenda uwanjani Manungu pia utakuwepo Mabau getini kuanzia saa 8:00 mchana (14:00 EAT).
Ewe shabiki wa Mtibwa Sugar fika mapema kuja kuipa nguvu timu yetu kesho tukizisaka alama tatu za muhimu kabisa.
NB: KIINGILIO NI BURE. 🎋🎋🎋
#mtbggf
#mtibwasugar #mtibwa
#nbcchampionship
#unitedwestand
https://www.instagram.com/p/DGgIAS6NETJ/?igsh=eWdmMzFsZ25ueGRw
👍
🎋
3