Jobwikis Ajira portal
                                
                            
                            
                    
                                
                                
                                February 21, 2025 at 03:48 AM
                               
                            
                        
                            Siku ya leo BWANA atakuangazia nuru za uso wako, atakulipa fadhili, atawapiga Adui zako na kukupa Amani, hakika atatembea nawe. Amini Amini Bwana atafanya haya kwa ajili yako, Kilio chako kimesikika.
*Kutoka 33:14* --Akasema, Uso wangu utakwenda pamoja nawe, nami nitakupa raha.
#yesunijibu #wokovunisasa
                        
                    
                    
                    
                    
                    
                                    
                                        
                                            🙏
                                        
                                    
                                        
                                            ❤️
                                        
                                    
                                    
                                        6