TUKO News Daily
TUKO News Daily
February 4, 2025 at 10:48 AM
🤔 Deputy President Rigathi Gachagua claimed President William Ruto promised him KSh 2 billion if he would have accepted to resign before his impeachment. “Nilisema hiyo ni kujipenda na nikajiuliza, yule anakupangia mabaya, anaweza kukupatia suluhisho ya vile utaishi? Ile barabara anakwambia uende, unaenda opposite.” “Sio lazima niongoze. Iko watu wengi wa kuongoza. Lazima nitetee Wakenya ndio ukweli ujulikane. Mimi nitakuwa kwa team. Nikitaka kusimama, nitasimama kwa sababu Katiba ya Kenya inasema kama uko na kesi kortini, right yako ya kusimama haiwezi kuondolewa,” Gachagua added. Photo: Rigathi Gachagua (Facebook) #tukonews #kenya #tuesdayvibes

Comments