TUKO News Daily
TUKO News Daily
February 4, 2025 at 02:53 PM
🤔 “Timber XO imeajiri zaidi ya wafanyikazi 200, lakini wewe ukikaa pale, unaona tu Sudi,” Kapseret MP Oscar Sudi says, insists the facility is run by the management. “Hakuna siku mfanyikazi mmoja wa Timber atasema nilimwandika kazi. Ukianza biashara, ukiset biashara, unapeana kwa wenye wanaendesha biashara, unaondokea na unaenda kuset biashara ingine.” “Hata ukienda kwa stakabadhi za Timber, mimi siko. Nilirudisha Timber kwa sababu kama kuna kitu huwa inanifurahisha mimi ni tarehe kama za leo, wakati unalipa watu mshahara,” Sudi added. Photo: Oscar Sudi (Facebook) #tukonews #kenya #sudi
🖕 1

Comments