YES GROUP
YES GROUP
February 19, 2025 at 07:51 PM
Geita- Mwenyekiti Mamlaka ya Mbolea Mh Dkt Diallo na Mkurugenzi Mamlaka ya Mbolea Mh Dkt Joel waeleza kuendelea na mipango ya ruzuku kwenye mbolea, umuhimu wa kuendelea kutoa elimu matumizi sahihi ya mbolea kupitia kwa maafisa ugani, pamoja na kuendelea na mpango wa kuongezwa upatikanaji wa mbolea kwa wakulima.
👍 ❤️ 😮 5

Comments