Salva Media Tanzania
Salva Media Tanzania
February 7, 2025 at 09:01 PM
Juma Jux, staa wa muziki kutoka Tanzania, amefunga ndoa na mchumba wake @its.priscy kutoka Nigeria 🇳🇬. Wawili hao ambao wamekuwa wapenzi kwa takribani miezi minane sasa wamefunga ndoa Februari 7, 2025 huku ndoa yao ikihudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo wasanii maarufu nchini. Salva Media Tanzania

Comments