
SECURE ESTATES & PROPERTIES LIMITED
February 17, 2025 at 06:15 AM
🚨 *NYUMBA INAUZWA KIBAHA KWA MATHIAS*
✅Nyumba Ina Vyumba vinne vya kulala kimoja master, sebure, dining, jiko & public toilet (AC ipo)
✅ Kuna vyumba Sita pembeni kimoja Master na kuna frame moja
✅Bei: Million 180
✅location: Kibaha kwa mathias. Km 1.5 Toka barabara kuu
✅ Ukubwa: Eka 1
✅ Eneo Limepimwa na Limezungushiwa fance kote
✅ Service charge: 20k
✅contact 📞 : 0693178576
By *SECURE ESTATES AND PROPERTIES LTD*