
Malik Afif ( Father Of IMAN & SALMAN )
February 15, 2025 at 08:05 AM
Wivu na Husda hazina nafasi katika Moyo wa Muumini, kuwa na Shukran kwa Baraka za Mwenyezi Mungu, subiri na omba kwa Ikhlas yale yaliyokusudiwa kwako yatakuja kwa wakati wake.
👍
1