
Malik Afif ( Father Of IMAN & SALMAN )
February 19, 2025 at 01:41 PM
Ipe kila siku nafasi ya kuwa siku nzuri zaidi ya Maisha yako, kila Mawio hukupa mwanzo mpya na mwisho mpya, acha leo iwe mwanzo mpya wa Uhusiano bora na mwisho mpya wa kumbukumbu mbaya, ni Fursa ya kufurahia Maisha na kupumua kwa Uhuru.
👍
1