Malik Afif ( Father Of IMAN & SALMAN )
Malik Afif ( Father Of IMAN & SALMAN )
February 20, 2025 at 03:14 PM
Wape Watu muda na nafasi ya kufanya kile wanachohitaji kufanya, acha usimamizi mdogo, unaweza kushauri na kupendekeza lakini huwezi kumlazimisha Mtu yeyote, unaweza kuwaombea waongoke na wengine umwachie Mwenyezi Mungu, Yeye ndiye Mmiliki wa Muongozo, humuongoa amtakaye.
👍 🙏 2

Comments