
Msenangu FM
February 24, 2025 at 07:39 AM
POLISI MMOJA WA KENYA AMERIPOTIWA KUFARIKI, HAITI.
Afisa mmoja wa polisi wa Kenya nchini Haiti chini ya mpango wa kiusalama wa MSS amefariki katika operesheni za kiusalama dhidi ya magenge katika eneo la Segur-Savien nchini humo.