
NorthTECH Computers
February 2, 2025 at 02:55 PM
unahangaika nini kutafuta suluhisho la kuzuia vibaka na wezi..? tupo sisi na tunakupa waranty ya miaka 3 ufungaji wa cctv camera Alarms unatizama popote ulipo na popote utapoenda ndani ya dunia kuona usalama na kinachojiri nyumbani au kazin kwako motor gate system door security gps kwa magari pikpik inakupa fursa ya kujua gari lako au pikpik yako imetmbea kilometa ngapi na ameenda wapi na wapi dereva wako pia tunarekebisha tv radio fridge air conditionals na kufunga pia nyumbani na katika magari computer repear and pgroming {Computer Programing} tunarudsha data ziliopotea{Data Recovery} sasa suluhisho ni ufungaji wa vifaa vya ulinzi ungana na dunia ya teknologia na kukomesha wizi pia tunauza computer aina zote laptop na desktop kwa bei nafuu na salama na sahihi kw maisha ya kila mmoja imefika wakati kila mtu kuwa katika ulimgu uliojaa teknolojia ni salama ila tuitumie vyema kupata faida na kuacha kutimia vibaya