
GigiBizHub | YouTube $$
February 22, 2025 at 03:39 PM
Absolutely 👍🏽
1. Kwa kesi ya reused Content ukipigwa nayo kwa mtu amabae alishamonetize 90 Probation days zikiisha na ukawa unavigezo vya kumonetize utamonetize ndio, No restrictions.
2. Kama hutakuwa na vigezo na ukivikisha baada ya muda utamonetize, No restrictions
*IMPORTANT*
Ni Muhimu to check your account before uapply for monetization na Uziri wewe ndo Umeme gene a Content unajua ulikozitoa lakini ili kujiridhisha here is what to do
- Nenda kwenye YT Studion yako fungus upande wa Content,
- KWa kawaida kuna mistar ya videos 15, Bt unaweza kuongeza hadi 30 ili usitumie nida mwingi na ucheki kwa urahisi zaidi, many at a time… especially ukiwa una contents nyingi
- Then sort to copyright, check restrictions and other stuffs ili uziondoe sehemu sente vipengele kabla hujaomba
Hii itakusaidia tu solve most cases although utashindwa to see direct some reused contents ambazo hazijakuwa right claimed.
👍
🫱🫲
2