GigiBizHub | YouTube $$
GigiBizHub | YouTube $$
February 22, 2025 at 04:22 PM
Makato ya TAX ya US huwa inategemea sana kwa Mtu na Mtu 1. Nature ya Audiance yako na Sehemu iliopo 2. ⁠Namna ambavyo umejaza information zako za Tax na hili ni kigezo ambacho watu mnaweza kuwa Niche moja na mnaangaliwa na Audiance moja ila mkapata makato tofauti Kwa mtu ambae hajajaza kabisa Tax form huwa inaweza kukaysa to 30% (This is normal deduction kwa most countries kwanuzoefu wangu na mara nyingi nawashauri watu kuangalia form zao vizuri Kama makato ni makubwa) 30% ni penalty pia kwa ambao Hawa kaka a kabisa hii form _Kwanini ni Muhimu Kujaza?_ Hii form unachokaza ninmaelezo yako yatayosaidia US kuchukua kodu yako, Namna unavyojaza kwenye hii form itaathiri kiasi gani kikatwe kila Mwisho w Mwezi. *Take This* i. Ireland Tax form imeondolewa to this moment ii. Tax form huwa inaexpire unahitajika kuijaza tena iwepo iii. Ukiijaza hii inatakiwa kuwa approved ndani ya Mud’a Nguo in most cases iv. Hautakiwi kujaza kila kipengele nakushauri deal na sehemu ambazo ni lazima pekee

Comments