O.H.O ENTERPRISES {TZ}💎📍
O.H.O ENTERPRISES {TZ}💎📍
February 23, 2025 at 08:22 PM
Nafasi za kazi Dimd Tanzania Limited, wasambazaji na wauzaji wa vipodozi ,Tunaitaji Brand ambassador ( promoter's) warembo wa kuwa mabalozi wa bidhaa zetu Sifa za wanaoitajika: ▫️Mchangamfu na mwenye hulka ya kujituma kwenye kazi ▫️Uwezo mzuri wa mawasiliano na kuweza kutatua changamoto eneo la kazi ▫️Mwenye uzoefu wa Masoko na mauzo kwa ujumla ▫️Mwenye utayari wa kufundishwa juu ya bidhaa za kampuni ▫️Uwezo wa kujenga mahusiano mazuri na wateja pamoja na wafanyakazi wenzake. Mwenye shauku na maswala ya urembo tuma maombi yako sasa 📩 Jinsi ya Kutuma Maombi: Tuma ujumbe kwa namba +255 677 600 607 kabla ya 26/02/2025, ( watakao tuma ujumbe ndo watakaopewa kipaumbele) ukitaja jina lako, uzoefu wako (kama upo), na kwa nini ungekuwa chaguo sahihi kwa nafasi hii!

Comments