NTV Kenya
NTV Kenya
February 19, 2025 at 03:17 PM
Tunamzindua @SyciliaWakesho Jumatano hii na kila Jumatano #ntvjioni #afyayako 7PM @NTVKenya Leo tunaipiga darubini sekta ya afya na Afisa Mkuu Mtendaji wa SHA @RobertIngasira Una swali gani kwake?

Comments