Pamoja Mapendano Serge PMS
Pamoja Mapendano Serge PMS
February 19, 2025 at 04:58 PM
Biblia. Ufunuo wa Yohana 22:20-21 [20]Yeye mwenye kuyashuhudia haya asema, Naam; naja upesi. Amina; na uje, Bwana Yesu. He which testifieth these things saith, Surely I come quickly. Amen. Even so, come, Lord Jesus. [21]Neema ya Bwana Yesu na iwe pamoja nanyi nyote. Amina. The grace of our Lord Jesus Christ be with you all. Amen.

Comments