
SAHIHI TV
February 3, 2025 at 10:09 PM
Sahihi Tv inatoa pole Kwa ndugu/jamaa na marafiki,pamoja na mashabiki,wapenzi wa SHUFAYNA KISAUTI,Kwa msiba mkubwa uliotokea Jumatatu 3,Feb shufayna alizaliwa mwaka 2001 na kufariki tarehe 3 Feb 2025,,shuu ameacha mtoto mdogo wakike,,mazishi tayari yamekwisha fanyika, tunashukuru Kwa mchango wake mkubwa katika Tasnia ya muziki wa singeli nchini T
Wasanii na wadau wote tutaendelea kukukumbuka pia kukuombea kilala kheri katika safari yako mpya,, inshallah Allah akuangazie katika siku zako zote..R.I.P @shufayna_kisauti
@keyter_kamatozi