
SAHIHI TV
February 10, 2025 at 08:26 AM
Rais wa Marekani, Donald Trump amesema anaamini Marekani imepiga hatua katika mazungumzo ya kumaliza vita kati ya Urusi na Ukraine, na kwamba inaendelea kudumisha mawasiliano na nchi hizo mbili.
Trump amesema amekuwa akiwasiliana na Putin, na hivyo mazungumzo hayo yatakuwa ya kwanza kutambuliwa rasmi kati ya Putin na Rais wa Marekani tangu mwaka 2022