Asadiqmedia
Asadiqmedia
February 3, 2025 at 04:33 PM
Hakika Mwenyezi Mungu amekunusuruni katika mapigano mengi, na siku ya Hunayni ambapo wingi wenu ulikupandisheni kichwa, lakini haukukufaeni kitu. Na ardhi ikawa dhiki kwenu juu ya upana wake. Kisha mkageuka mkarudi nyuma. At-Tawbah (09): 25 Jiunge leo Kupata kunufaika zaidi..... https://whatsapp.com/channel/0029Va9pMJcLdQeYSI90jr17
❤️ 1

Comments