Asadiqmedia
Asadiqmedia
February 17, 2025 at 03:48 PM
Wale walio amini, na wakahama, na wakapigana Jihadi katika Njia ya Mwenyezi Mungu (SWT) kwa mali yao na nafsi zao, hao wana cheo kikubwa zaidi mbele ya Mwenyezi Mungu. Na hao ndio wenye kufuzu. At-Tawbah (09): 20 Jiunge leo Kupata kunufaika zaidi.... https://whatsapp.com/channel/0029Va9pMJcLdQeYSI90jr17

Comments