
SAO INTERNATIONAL KAZI NI KAZI
February 7, 2025 at 05:19 PM
🫘🌽🔊🔊 *COMMUNIQUE SAO RDC BUKAVU KAZI NI KAZI* 🔊🔊🔊
Tuna tangazia wana memba wote wa SAO RDC Bukavu n'a ma Site zake zote wenye walipata semences ( mbe *gu) ya mahalagwe Mahindi n'a chia k* wenda Ku panda kwa saison A
Tangu Siku ya kwanza tarehe 17/02/2025 Kila mtu akuje n'a mafungo yake kwa bureau ( *échantillonnage* )
Site :
- Panzi
- kasihe
- nyantende
- kabungo
- kamisimbi yote
- Walungu yote
- KIBOMBO
- BUREAU SAO BUKAVU
- Nyangezi
- kabare
- chiherano
- ect,...
Nyote tuna nachunga tangu Siku ya kwanza Kila mtu kuleta mavuno kwa sehemu ( *Échantillon*)
Kwa mengine ita 0992654930 in box
_From PATRICK SAO RDC_ ✍🏾✍🏾