Royaltourtz
Royaltourtz
February 13, 2025 at 05:02 AM
Muonekano wa Uwanja wa Mpira wa Miguu Dodoma ambao Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo itasaini mkataba wa ujenzi wa uwanja huo leo tarehe 13 Februari 2025 saa 3:00 Asubuhi Eneo la Viwanja Changamani vilivyopo Nzuguni Dodoma. #royaltourtzdigitalteam #royaltourtzupdates #tanzania #dodoma

Comments