UFUNDI KITANDANI❤️👙😍
UFUNDI KITANDANI❤️👙😍
February 5, 2025 at 09:57 AM
KUMBE WACHAWI NAO WATAMU 🔞 KIPENGELE CHA 03___04 Wachawi walikuwa wameshakusanyika baada ya kwenda kuwanga katika familia mbalimbali kwenye mitaa yote ya Ujiji. Bibi kiongozi wa wachawi alisimama katikati yao lakini alipotazama akagundua kuna watu ambao hawakuwepo pale akafoka. “Vero na Changa wako wapi” Wachawi wote wakageuka kushoto na kulia Vero hayupo Changa hayupo “Nauliza.....Vero na Changa wako wapi??” alizidi kuuliza kwa hasira “Hatujui mkuu” wachawi wote waliuliza Mchawi kiongozi akaunguruma kama Simba jike aliyekuwa anahitaji nyama. Alipiga magoti chini, hofu ikatanda, akahisi labda wenzao wameshakamatwa. Alichukua kitambaa cheusi akakitandika chini kisha akachukua damu kwenye kibuyu kidogo kabisa, akamiminia kwenye kile kitambaa kisha akakibeba na kuanza kukisugua kama vile anakifua kwenye maji. Matendo haya yaliambatana na sauti ya maneno ya ajabu ya kutisha, maneno ya kimzimu, halafu alikivaa kile kitambaa machoni akajifunika usoni na kutazama Kile kitambaa kilimuonyesha kwa mfumo wa picha, mithili ya video, ikionyesha watu wake walipokuwa, akaogopa na kujaribu kuchungulia ili awaone lakini giza liliizunguka nyumba nzima ya Kapweto, kumbe muda huo alikuwa anyonywa makende na Changa kwani baada ya kumtandika dudu Changa alinogewa na kuanza kumuonyesha maujuzi ya hali ya juu Bi Mpwele, ambaye ni kiongozi wa wachawi alishangaa kabisa na kujikuta anataka kulia, alijua shughuli yake imegonga mwamba tayari. Alijua siri inaenda kufichuka. Hata hivyo wakiwa wanawaza wakawakomboe vipi wenzao, ndipo Kapweto alipomaliza utamu wake na kukojoa viwili akawaachia wale wachawi wawili. “Msirudie tena wapumbavu wakubwa nyie” alisema Kapweto huku akiwatoa mlangoni wote wamelowa, wametandikwa vya kutosha. Kwa kuwa ilikuwa bado usiku wa saa tisa, na mabinti hawakuwa na nguvu ya kupaa kwa ungo, ilibidi watembee kwa machale kuelekea katika vichaka ambavyo walikuwa wakikutana kila mara. Walipofika walikuta wenzao wakiwa wanafanya maombi kwenda kwa mizimu yao ili waweze kuwakomboa lakini kumbe wao walikuwa wameshafika pale, Changa na vero walipiga magoti na kuanza kuomba radhi “Tusameheni wenzetu....tulikumbwa na maswahibu huko tulikoenda, walikuwa wametuwekea mtego” “Poleni mabinti zetu, dua zetu mizimu wamezisikia” walisema wachawi wote. *** Asubuhi ilipofika, Kapweto alikuwa amesimama kando ya mji wake akawa anachekelea mwenyewe, alikuwa akijiuliza maswali mengi na kujisifia, mara akasema “Hawatanisahau kwa nilichowafanya, wamenichezea muda mrefu, zamu yao imefika sasa” Akiwa anazidi kuwaza mambo mengi pale, walikuja vijana ambao walikuwa wanahitaji huduma za kuzimua ubongo kwa kutumia dawa za kulevya zile, hata hivyo Kapweto hakusita kuwahudumia, hii ilikuwa ni jukumu lake la kila siku. Baada ya kuwahudumia aliwasha redio akawa anasikiliza habari mbalimbali, lakini baadaye kabisa saa saba wateja walikuwa wametokomea, hakuwepo hata mmoja, Kapweto alijilaza kwenye kiti kirefu wanaita fomu au benchi, halafu akafumba macho huku akiwaza akatafute wapi chakula. Ghafla alisikia “Hodiii” akainuka haraka maana alikuwa akiishi mazingira hatarishi na biashara aliyokuwa akitenda ilikuwa ni biashara haramu kabisa. Alivyoinua macho hivi, alikutana na sura ya Changa, akiwa amevaa nguo za nyumbani, nguo safi kabisa zilizoonyesha mvuto wa hali ya juu, Alikuwa mzuri kupita maelezo, alikuwa amependeza kamwe mtu asingedhani yule binti ni mwanga tena anawanga usiku kucha akiwa uchi wa mnyama. Alimtazama kuanzia juu mpaka chini Changa anatabasamu tu, lakini Kapweto alikuwa ameogopa maana alikuwa anajua yule ni mwanga, alijiuliza maswali kadhaa kichwani kwamba Je yule binti amekuja kufanya nini, kwamba je amekuja kulipiza kisasi? Au alinogewa na penzi la usiku mpaka akarudi tena? Jamaa alikosa majibu akaitikia tu “Karibu mgeni” aliongea na kuketi vizuri akamtazama usoni, ilionekana kuna jambo. Hamisi alimjua fika ni yule binti wa usiku lakini hakulifahamu jina lake maana hakuwahi kumuona kabla kwani binti yule alikuwa anatokea mtaa wa pili. Changa akasema “Asante....uko peke yako??” aliuliza Changa akiwa anatazama kushoto na kulia kama kuna mtu yoyote “Ndio...umekuja kufanya nini hpa??” aliuliza kwa uoga Kapweto huku akisimama na kumtazama mtoto wa kike huyo ambaye alikuwa anajua kabisa ni mtu hatari sana kwake hasa ukizingatia alishamfanyia kitu kibaya sana usiku “Khee....mbona unanifokea jamani....si unauza vitu vyako hivi??” aliuliza Changa huku akiketi “Ndio...sawa...anyway....nikuhudumie nini?” alisema “Nimeagizwa na bibi, anataka ugoro wa shilingi mia tatu” alisema binti huku akimtazama kwa hisia machoni kijana yule “Duuh” Hamis Kapweto aliangalia kango, kila muda alikuwa anakumbuka ule upumbavu alioufanya usiku, alikuwa anakumbuka jinsi huyo mtoto mdogo anavyojua kunyonya makende, akajua kabisa huyu hawezi kuwa muha, yaani haogopi dudu kabisa. “Naomba” alisema Changa akiwa anamnyooshe sarafu ya shilingi mia tano. Kapweto hakutaka kuipokea alijua ni mtego, akamuambia “Nakupa ofa, unaona huo ugoro hapo??” aliuliza huku akinyooshea mkono kwenye dirisha la kibanda chake, alikuwa amening’iniza paketi nyingi za ugoro “Ndio ninaona” alisema “Chukua hapo paketi tatu halafu kimbia nisikuone tena hapa” “Hela yako hii hapa” alisema binti “Hapana hela sitaki nimekupatia tu bure, hiyo hela kalie biskuti” alisema Yule binti alienda akachomia vifungu vitatu vya ugoro kisha akaweka pesa juu ya kiti na kusema, mi naondoka “Unaondoka vipi, hiyo sarafu unamuachia nani??” aliuliza “Nakuachia wewe, si umeniuzia??” aliuliza “Hapana siihitaji kwangu....mimi ninakujua vizuri ondoka na hela yako” “Hapana....siko hivyo” alisema binti, ndipo Kapweto akafoka “We mtoto mchawi” Akiwa anataka kumletea shida mara akaona mama mmoja aitwaye Mama Asha akiwa anafika eneo lile, ikabidi avunge kwanza, yule binti Changa naye akapata chance ya kutoweka na kwenda zake huku akiacha ile sarafu pale kwenye benchi. “Mama Asha karibu” “Asante” alisema huku akimgeukia na kumtazama yule binti aliyekuwa anatokomea kwenye kona “Huyu msichana katoka wapi huku?” aliuliza mama Asha “Simfahamu, kwani ni wa wapi huyu??” aliuliza Kapweto “Ni wa mtaa wa kwa Noti, sasa huku amekuja kutafuta nini??” “Ameniambia bibi yake ndiye kamuagiza” alisema Kapweto “Bibi yake?? Huyu binti ana bibi?? Embu kuwa makini na hawa watu bwana” alisema “Kwanini unasema hivyo mama Asha?” “Huyu binti ni Mwanga sana....amevunja ndoa nyingi sana anawateka waume za watu kwa uchawi huko kwanoti anasifika kwa umalaya na wanga....yaani anaweza akawa kuna kitu ameona hapa” alisema mama Asha maneno ambayo yalimuweka kabisa matatani. Ni kweli Changa alikuwa ni mchawi lakini vile vile alikuwa ni mwanga wa kufa mtu, sasa Hamis Kapweto alikuwa anajiuliza kwanini binti ameamua kumtembelea tena Akasema “Achana naye, karibu nikuhudumie” “Nipe cha mia tano” alisema mama Asha na kuketi huku akivua kitambaa chake kichwani Kwa kuwa Kapweto alimfahamu vyema mama Asha kuwa mteja wake, alijua kwamba anataka gongo, aliingia ndani akamimina gongo na kurudi nje akampatia, mama Asha akampatia shilingi elfu moja, hapo ndipo Kapweto alipoona amepona kwani alipopewa buku alitakiwa kurudisha jero, hivyo akamuambia achukue ile binti Changa aliyoiacha kwenye benchi. Mama Asha hakusita aliichukua ile mia tano kisha akapalilia moyo na kuondoka zake. * Hivyo ndivyo ilivyokuwa biashara ya Hamis, mteja alikuja kupata huduma kisha kuondoka zake. JE CHANGAA ALIKUJA KUTAFUTA NINI KWA KAPWETO, USIKOSE KIPENGELE CHA NNE KIPENGELE CHA NNE Baadaye jioni saa kumi na mbili, Bi Kamlenga ambaye ni bibi yake Hamis Kapweto akiwa zake nyumbani anapembua dagaa wake atoe toe uchafu uchafu, ndipo ghafla akasikia mtu anabisha hodi, akainua macho na kutazama ni nani huyo, alipoangalia hivi, ni adui yake mkubwa katika nguvu za giza, Bi Mpwele ambaye alikuwa kiongozi wa wachawi wa mitaa miwili, mtaa wa Kagera pamoja na Kwanoti. Round hii alikuwa pekupeku miguu imepauka meusi ti...iliyopasuka pasuka kwenye nyayo Alimtazama kwa mshangao bi kamlenga kisha akamuuliza “Kuna nini mbona umenitembelea saa hizi baada ya mwaka mzima kutokuongea?” Bi Mpwele akamuuliza “Si tulishaamua kila mtu abaki na mtaa wake? Mbona unaniingilia kazini” “Nimekuingilia kivipi Bi Mpwele?” aliuliza bi Kamlenga “Haujui??” alishika kiuno bi Mpwele na kuuliza “Unafikiri nilipoona zile rada za giza sikujua kwamba ni wewe?? Nakuhakikishia hivi ejapo ukijaribu tena kuwatikisa wachawi wa upande wangu, hakika nitakusambaratisha” “Hahahaehehehe” alicheka bi Kamlenga na kupeta dagaa juu wakapeperuka, akaweka chombo chini, dagaa wakaenda mbali sana, lakini upepo ukamtiii na kuzishusha dagaa zote zikatua ndani ya ungo tena zikiwa safi, halafu akainuka na kumshikia kiuno bi Mpwele “Enhee kilichokushinda kuusambaratisha huo uchawi nini?? Mbona unajaribu kunikorofisha nikaharibu ngome??” aliuliza lakini bi mpwele alikuwa anashangaa tu namna dagaa zilivyomtii bi Kamlenga na kutua ndani ya ungo bila taabu. “Nakuuliza wewe mwana-nkorofi, unataka nikuvamie kwako na wachawi wako niwachukue wote usiku huu??” Bi Mpwele akauliza “Kwani umefanyaje hao dagaa wakapeperuka na kurudi kwenye ungo??” aliuliza bado alikuwa na mengi sana ya kujifunza kwa bi kamlenga “Pumbavu...huujui uchawi wewe ni wa juzi, au nikuoteshe uume??” “Hapana bi Kamlenga, sijaja kwa shari ninataka tu uachane na ngome yangu bado ninahitaji kuwa malkia wao” “Hujaja kwa shari?? Ulikuja hapa kufanya nini??” aliuliza “Nimekuja kukuomba” alisema mpwele “Sasa sikiliza mwana-nkorofi bi Mpwele mpwelesu, kwenye kuomba kuna haya??” alisema akinyoosha vidole viwili juu vya mkono wa kushoto Bi mpwele akasema “Mawili” “Lipi na lipi?” aliuliza Bi Kamlenga Bi mpwele alifikiria akakosa jibu ndipo bi Kamlenga akamsaidia, “Kuna kukubaliwa na kukataliwa, sasa la kwako hili umekataliwa” alisema Bi mpwele akapatwa na hasira na kuuliza “Kwa hiyo huniachii ngome yangu?” Bi kamlenga akajibu “Nitaitawala pia” “Sawa” bi Mpwele aliondoka lakini kichwani alifikiria kumkomoa bi Kamlenga ambaye alionekana kuwa na jeuri kubwa sana Ni kweli uchawi wa bi Kamlenga ulikuwa na nguvu sana ukizingatia na uchawi wa bi Mpwele na ulitofautiana, mara nyingi Bi Kamlenga alitumia uchawi wake kulinda watu lakini Bi Mpwele alitumia kuangamiza maendeleo ya watu. * Usiku ulipofika, wachawi wote waliokuwa chini ya Mpwele walikusanyika eneo lao chini ya mti mkubwa kando ya kichaka karibu na uwanja wa mpira, walianza kuongea mengi. Kama ilivyokuwa kawaida, bibi Mpwele alikuwa akibadilisha badilisha maeneo ya kwenda kuroga kwa watu wake, leo mchawi akienda mtaa huu, basi kesho ataenda mtaa mwingine. Alianza kupanga kulingana na umri, umri mdogo siku hiyo ambao ni Vero na Changa walipangwa kwenda mtaa wa Kwa noti, na mtaa huu walipaswa kwenda kufanya muujiza wa kuchomeka sarafu sarafu kwenye matofali ili watu wasiweze kuendelea kujenga majumba ya kifahari katika eneo hilo. Wengine walipangwa maeneo mengine, lakini Changa akasujudu chini na kusema “Mama yetu kiongozi wetu.....” Bi mpwele akaitika na kusema “SEMA!!” “Kule Kwanoti ni nyumbani kwetu, nikikamatwa itakuwa ni hatari kwangu, dhihaka nyingi, ninaomba unipangie eneo lile ulilonituma usiku wa jana” “Kwanini haunitiii mimi??” aliuliza bi Mpwele “Jana tuliingia katika nyumba moja, yule mtu alitufanyia kitu kibaya sana, ninaomba niende nikalipize kisasi” Bi Mpwele alimtazama kwa sekunde kadhaa binti Changa, halafu akamgeukia Vero na kuita “Veronikaaa” Vero akainua macho na kuitika “Nipo Malkia” “Kweli mlifanyiwa kitendo kibaya chenye kuhitaji kisasi??” “Ndio kiongozi” “Ningehitaji kujua hilo jambo lakini kwa sababu muda unazidi kwenda ni heri mkatawanyika kwenda kwenye majukumu halafu mtakuja kunisimulia mkirudi” “Sawa malkia” aliitikia vero “Sasa, Sophia hautaenda tena mtaa wa Kagera, inabidi uende Kwanoti kwa niaba ya Changa” “Nakutii malkia” “Kila la kheri” Wote walifunga mikono na kukusanya miguu wakafumba macho na kuanza kupaa kuelekea katika mitaa walioagizwa, sharti lilikuwa moja tu, kutokufumbua macho lakini kuzungumza waliruhusiwa. Changa na Mchawi mwingine aitwaye Ma Sabrina waliingia katika mtaa wa Kagera, wapo angani, hakuna anayewaona, ndipo Changa akamsihi, “Wewe nenda kushoto mimi kulia ukisikia nimelia tu uje uniokoe, na wewe ukikurana na tatizo tafadhali piga kelele nije nikukomboe” alisema binti “Sawa” Kila mmoja alikula kona yake na binti Changa hakutaka kupoteza muda alienda pale pale kwa kijana Kapweto, akazama mpaka ndani. Alipofika ndani alimkosa Kapweto, muda huo Kapweto alikuwa chooni akikata gogo, ndipo binti akajichificha nyumba ya mlango akimsubiri. Kapweto alipomaliza kukata gogo aliingia ndani akiwa anapiga mluzi, na alipofika tu ndani alikutana na harufu ya tofauti akajua kuna kitu kinaendelea pale ndani, aliwahi dawa aliyokuwa amepewa na bibi yake siku mbili kabla, na alianza kuirusha chini. Baada ya kurusha tu nyuma ya mlango Changa alidondoka kama gunia, Kapweto akaruka kwa uoga akirudi nyuma, alipotazama hivi, Changa huyu hapa, ameshalegea legelege, zile dawa zilikuwa ni kali kisawasawa zikikutana na mchawi hazimuachi salama “Wewe!!! Umerudi tena??” aliuliza Kapweto kwa mshangao, lakini binti alilala huku akitabasamu na kusema “Nimeshindwa kuvumilia nimelimiss penzi lako” “Haaaaah” Hamis Kapweto akashangaa kumbe mtoto amekolea kisa penzi la mwamba......JE Hamis ATAMFANYAJE BINTI CHANGAAAA??? USIKOSE KIPENGELE CHA TANO
👍 😢 😮 3

Comments