UFUNDI KITANDANI❤️👙😍
February 6, 2025 at 10:24 AM
Mambo ambayo WANAUME wengi huona uzito kuyafanya na ILHALI ni sehemu ya MAPENZI.
@Kuomba RADHI wanapokosea.
@Kumsaidia MKEWE hata kama anaumwa.
@Kufanya MZAHA na matani na MKEWE(URAFIKI)
@Kumsikiliza na KUMSHAURI
@ KUJALI jitihada zake hata kama ni NDOGO.
@Kumsaidia hata kupika.
Brothers, huenda nisiwe sahihi sana ila niwahakikishie tuu kwamba haya mambo niliyoyataja hapo juu ☝️yana mchango mkubwa sana kwenye kuchochea na kuongeza MAPENZI,m hivyo niwasihi tujitahidi kuondokana na DHANA potofu kwamba huku ni KUWEZWA LIMBWATA
😮
1