
UFUNDI KITANDANI❤️👙😍
February 7, 2025 at 07:16 PM
KUMBE WACHAWI NAO WATAMU 🔞
SEHEMU YA 07
TULIPOISHIA
Changa aliamua kupotezea lakini kadri alivyosikia zile kelele ndivyo wazimu ulimpanda, akaupiga ungo paah ukapanda juu kilometa moja na kuanza kutembea kwa kasi kuelekea Mtaa wa Kagera, binti alipofika alisimamisha ungo dirishani halafu akawa anasikilizia sauti akagundua mmmh miguno ni ya nguvu mwenzake anatekenywa
Akasikia Vero anamuambia “Baby…tomb** km^ yako, nitakupa kila siku mume wangu aaaashss aaaah” alikuwa analalamika kwa utamu uliokuwa umemkolea.
Kadri Changa alivyosikia hivyo ndivyo alivyopagawa na kutamani kwenda kumuangamiza mwenzake
ENDELEA
Changa alipandisha ungo juu kwa kasi ya ajabu halafu akaenda kuanzia juu akashuka na kupiga mabati kwa nguvu paah paah paah.
Hii sauti ilisikika mpaka ndani ilikuwa inasumbua sana, Hamis akachomo mashine kwa Vero ambaye alikuwa amempigia magoti, halafu akashuka kitandani na kuwasha taa
“Nini hicho??” aliuliza Hamis Kapweto huku akimtazama Vero ndipo akagundua sio Changa alikuwa amelala naye
Kwa kifupi Hamis Kapweto naye alikuwa ameshaanza kumpenda penda Changa, kwa sababu Changa alikuwa kadogodogo halafu mambo ya sita kwa sita alikuwa anayajua mno.
“Kumbe wewe sio yule wa jana??” aliuliza Kapweto kwa mshangao
“Sio mimi…..kwani juzi si ulianza na mimi jamani??” aliuliza Vero mara wakasikia tena mabati yamegongwa wote wakashangaa.
Vero akasema “Mwenzangu huyo amenifuata”
Hamis akamuuliza “Mwenzako gani?” aliuliza
“Mwenzangu tu” alisema na kushuka akapanda kwenye ungo wake aliokuwa ameuweka chini sakafuni, halafu akafumba macho na kutoweka akijua atatoka nje na kumuona Changa lakini wapi, Changa muda huo alikuwa ameshaondoka, hii ni kwa sababu Changa hakutaka kuleta bifu kati yake na rafiki yake
Changa alikuwa amejificha maeneo ambayo anajua hata mwenzake asingemuona, ndipo Vero akapita, na kuanza kumuita mwenzake ambaye alikuwa ameagizwa naye waende mitaa ya Kagera.
Changa baada ya kuamini kwamba Vero ameshapotea, basi aliamua naye kuzama kwa Kapweto, alikuwa amenogewa sana na muhogo wa huyu mvuta bangi, alipofika alimkuta Hamis amesimama katikati ya chumba anavuta sigara kwa speed isiyokuwa ya kawaida, hata hivyo Kapweto alimuona Changa akiwa amenuna mbele yake
“Hamis” aliita kwa hasira
“Umekuja kwa sura nyingine??” aliuliza Kapweto
“Hapana lakini kwanini umenisaliti??” aliuliza Changa
“Nimekusaliti?? Kivipi??”
“Mimi ndiye niliyekuja kupiga makelele katika mabati yako, nia yangu ni ili usiendelea kufanya mapenzi na huyo mshenzi, sasa naomba unieleze kwanini hujawa muaminifu kwangu??”
“Mwaminifu kivipi, kwani mimi na wewe tuna mahusiano??” aliuliza
“Mahusiano hatuna?? Hujui hilo mara ngapi nimekuja kulala na wewe”
Hamis kwa sababu akili zake alikuwa anaongea kwa mibangi yake kichwani hakujali anazungumza na mwanga, akamueleza
“We kilichokuleta ni mihemko yako, mimi akijileta yoyote ninafeka, kwani nilikuambia tunadeti??” aliuliza
Binti alipandwa na hasira za ajabu akamnyoosha mkono mmoja juu akamshikilia angani bila kumgusa lakini Hamis alijisikia kama vile amenyongwa, akamuuliza
“Unajua nimejitoa sadaka kivipi kuwa na wewe hapa siku mbili mfululizo??” alisema binti kisha akamtupa kwa nguvu jamaa akatua ukutani puu halafu akadondoka chini akiwa amelegea legele lege
Koh koh koh, alikohoa Kapweto kwa sababu ya kukabwa koo, halafu akamuuliza yule binti “Kwanini unanifanyia hivi”
Lakini binti akatoweka akiwa na hasira zake.
Masikini mchawi Changa alikuwa ameshampenda mtu mbaye alitakiwa kumloga amuharibie biashara, bi Mpwele angejua ingekuwa ni tatizo kubwa zaidi.
Sasa binti alimuacha Kapweto akiwa katika hali mbaya, halafu yeye alienda kukutana katika kikao cha mwisho chini ya ule mti, walipofika wachawi wote walikuwa wamekusanyika lakini kiongozi hakuwepo, wakaanza kumtafuta kila mmoja ananena maneno yake ili kujua kiongozi yupo katika dira gani.
Kote walikuwa wanaonga giza nene, lakini ghafla fisi wa bi Mpwele alirudi akiwa amembeba bi Mpwele ambaye alikuwa hoi, mwili umemuharibia kalala kama kaning’inia juu ya mgongo wa fisi.
Wachawi wote wakashtuka na kumzunguka fisi kisha wakauliza “Kunani bi Mpwele??”
Bi Mpwele alikuwa hawezi kuzungumza kitu chochote ndipo yule fisi akajikwatua na kumdondosha chini Mpwele halafu fisi akaruka na kuondoka mbio kuelekea kule walipotokea.
Wachawi walipiga magoti kumzunguka kiongozi wao, kisha wakaanza kuongea na mizimu yao kuioa iweze kumponya kiongozi wao na kazi iendelee.
Aidha walichukua baadhi ya dawa, na damu mbichi wakaanza kumpaka na kumnywesha ili kujua kama angelipona kiongozi yule wa kwao.
Ilichukua takribani masaa mawili wanahangaika naye, mwanga wa dunia ukaanza kushuka, wote wakaogopa na kuhisi wanaweza kufumwa moja kwa moja na wanadamu ambao sio wachawi.
“Tunafanyaje aende nyumbani?” aliuliza Bi Sophi
“Inabidi apelekwe haraka iwezekanavyo”
Kwa kuwa Vero na Changa walikuwa majirani zake, basi waliombwa wamchukue na kumpeleka nyumbani, wote waliketi kwenye nyungo zao halafu miguu ikawekwa mapajani mwa Changa huku kichwa kikiwekwa kwenye mapaja ya Vero, wakafumba macho na kunena kwa lugha na ndipo taratiibu ungo ulianza kupaa kuelekea angani.
Walitembea mwendo wa haraka haraka kuelekea nyumbani kwake na walizama bila mtu yeyote wa nyumba hiyo kushtuka, walimlaza kitandani na kumuacha wakatoka haraka haraka.
Walipofika juu angani, Changa alimtazama Vero kwa hasira kisha akamuambia
“Vero nisikilize kwa makini…….sitaki umzoee Hamis, yule ni mume wangu…tutaanza kupiga vita hapa” alisema binti huyo………………JE VERO ALIJIBU NINI? NA JE BI MPWELEE ALIPATWA NA NINI MPAKA AKAUMIA HIVYO? USIKOSE SEHEMU YA 08