UFUNDI KITANDANI❤️👙😍
February 11, 2025 at 02:14 PM
UTOFAUTI WA MWANAUME NA MWANAMKE
Mara nyingi mwanamke anapofanya tendo la ndoa hufumba macho au wakati mwingine kumtazama mwanaume usoni sana ili kuzipa hisia zake uwezo wa kutengenezea taswira na kumbukumbu za upendo wa kudumu uzaliwe.
Mwanamke hupenda sana kuongea vitu vya msingi baada ya tendo. Mara nyingi baada ya tendo mwanamke ile aibu huisha na huwa na ujasiri sana hasa akiwa ametendewa haki kwenye shauri lake alipopandishwa kizibani kujitetea kwenye kesi ya kihisia iliyomkabili
Mara nyingi mwanamke baada ya tendo hauongei upuuzi hata kama muda mwingi huwa anaongeaga upuuzi ila baada ya tendo huwa mwingine kabisa. CHUNGUZA UONE labda awe mdangaji alikuja kwa ajili ya kuuza
Mwanamke wa hivi kwa mwanaume mpitaji huonekana kero, mpelelezi, mdadisi na msumbufu na wanawake hawa huishia kuumizwa sana na wanaume wapitaji. Kwasababu mwanamke mwili wake ni zawadi yenye thamani sana kwake na mwili wake ukutendewa haki huinua upendo wa kesho
Wanaume WAWINDAJI na WALA MIZOGA wamekuwa tishio kwenye mioyo ya wanawake wanaohitaji mapenzi ya dhati kwasababu wanaume hao baada ya tendo wao hujifanya wako busy, hutaka kulala, huoga na kuondoka
Mwanamke anayo mengi sana mambo mema ya kukushirikisha na hakuna muda mzuri wa kumkanya mwanamke akakusikiliza na akuelewa sana kuliko siku zote kama maongezi na makubaliano mtakayoyafanya baada ya tendo la ndoa pale huwa yeye kabisa
Wanaume wanaofaidi mawazo mema, ushauri na kusaidiwa kwenye changamoto zao ni wale wanaobalance usingizi au ratiba zao baada ya tendo la ndoa na kuwasikiliza wanawake zao
❤️
😢
4